
Wadau hawa walipopewa mwaliko wa kuhudhuria St. Pat's Festival, Ireland, walikumbuka kubeba myamvuli; Ati waliambiwa Ireland kuna mvua nyinigi na hali ya hewa hubadilika mara kwa mara. Miye niliwanasa kwenye Kamera, Katika shangaa shangaa yangu kwenye Parade hapo
O'Connell St. mida ya saa saba. Baada ya kutafakari picha hii nikagundua kuwa myamuli hii ilikuwa imeandaliwa kupambana na jua kali lililotwanga mtaa mzima wa
O'Connell na kusababisha
Mto Lifey kunyauka! O'Connell st. imeshuhudia Global Warming- evidence tazama Picha. Wadau tuleteeni picha mlizopiga leo kwenya Festival hii- baadhi ya picha zangu zimeungua tokana na jua kali!!
asante sana kwa blog yako nzuri ,nimefurahi sana kuona ed kuna blog nzuri .Je tukitaka kutuma habari tutafanyaje?
ReplyDeletebasi pitia www.musoma-tanzania.blogspot.com
We could actually do with some laughter around here ...asante(lol)
ReplyDeleteVipi Watanzania Ireland mtapatikana kwenye paredi ya St Patrick mwakani.Nafikiri niliona bendera yetu somewhere labda Limerick? Sasa tumeshakuwa na jumuiya yetu may be we can perticipate in the coming events..just a thought.
ReplyDelete