Monday, March 16, 2009

Canon Multipass C70 Fax,Printer,Copier- BURE

Ndugu mdau
Tunashukuru kwa kuchukua uamuzi wa kugawa Printer- Bure. Kwa moyo wako mkunjufu, toa maelezo unapatikana wapi-Anwani yako, ili wanaohitaji waje kuchukua. Ajabu!uliweza kupata muda wa ku-'scan' picha ya printer na kutoa 'spec' zake lakini hukupata muda wa kueleza vizuri unapatikana wapi, anwani, tel # etc.

1 comment:

  1. Asante sana ndugu hapo juu, samahani kwa kutokutoa maelezo zaidi.Mimi napatikana South County Dublin, mitaa ya Stillorgan. Sikutaka kutoa simu na anwani makusudi ndio maana nikatoa email (azania@eircom.net) ili kwa anayetaka akituma email ndio tutaendelea kutokea hapo, kupeana address na simu.Nadhani umenielewa - Mdau

    ReplyDelete