Ndugu mdau
Tunashukuru kwa kuchukua uamuzi wa kugawa Printer- Bure. Kwa moyo wako mkunjufu, toa maelezo unapatikana wapi-Anwani yako, ili wanaohitaji waje kuchukua. Ajabu!uliweza kupata muda wa ku-'scan' picha ya printer na kutoa 'spec' zake lakini hukupata muda wa kueleza vizuri unapatikana wapi, anwani, tel # etc.
AZAM MARINE YAONGEZA NGUVU KUSAFIRISHA MASHABIKI AFCON 2027
-
*Kampuni ya Azam Marine imeanza maandalizi ya kuimarisha huduma za usafiri
wa majini kuelekea michuano ya AFCON 2027, ikiwamo kuongeza meli mpya ya
Kilima...
8 hours ago
Asante sana ndugu hapo juu, samahani kwa kutokutoa maelezo zaidi.Mimi napatikana South County Dublin, mitaa ya Stillorgan. Sikutaka kutoa simu na anwani makusudi ndio maana nikatoa email (azania@eircom.net) ili kwa anayetaka akituma email ndio tutaendelea kutokea hapo, kupeana address na simu.Nadhani umenielewa - Mdau
ReplyDelete