Nashukuru sana kwa salamu zenu, na nachukua nafasi hii,kupokea uteuzi huu,wa Acting Chairwoman (caretaker) nitauendeleza kwa kutegemea msaada na mawazo yenu pia kwa pamoja.
ASANTENI,NA KIDUMU CHAMA.
UKAGUZI WA LESENI ZA MADINI WAIMARISHA UZINGATIAJI WA SHERIA NCHINI
-
*📍Dodoma*
*Tume ya Madini imeendelea kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa leseni za
madini nchini kwa lengo la kufuatilia maendeleo ya leseni hizo na
...
5 hours ago