Tanzania Imepanda daraja ngazi 12 juu. Tumekuwa namba (97 ) Duniani Chini ya syria na Juu ya Montenegro. Namba (23) barani Africa chini ya Sudan juu ya Gambia.
Nchi ya kwanza Duniani ni Brazil, kufuatiwa na Spain na Uholanzi. Afrika namba moja ni Ivory Coast kufuatiwa na Cameroun, Gabon, Nigeria.
Tanzania Best performance ilikuwa 1995 ( 65) na worst 2005 (175) .
Gonga hapa chini ujionee mwenyewe
http://www.fifa.com/associations/association=tan/ranking/gender=m/index.html
UKAGUZI WA MIGODI WAENDELEA KUIMARISHA USALAMA NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
NCHINI
-
*Dodoma*
*Tume ya Madini imeendelea kuimarisha ukaguzi wa migodi nchini kupitia
Kurugenzi ya Ukaguzi wa Migodi na Mazingira kwa lengo la kuhakikisha
s...
6 hours ago