Tanzania Imepanda daraja ngazi 12 juu. Tumekuwa namba (97 ) Duniani Chini ya syria na Juu ya Montenegro. Namba (23) barani Africa chini ya Sudan juu ya Gambia.
Nchi ya kwanza Duniani ni Brazil, kufuatiwa na Spain na Uholanzi. Afrika namba moja ni Ivory Coast kufuatiwa na Cameroun, Gabon, Nigeria.
Tanzania Best performance ilikuwa 1995 ( 65) na worst 2005 (175) .
Gonga hapa chini ujionee mwenyewe
http://www.fifa.com/associations/association=tan/ranking/gender=m/index.html
DKT. MUYUNGI AITAKA AFRIKA KUTUMIA FURSA YA MADINI
-
Na Mwandishi Wetu, ADDIS ABABA.
Ethiopia“Afrika inapaswa kutumia utajiri wake wa madini muhimu kujenga
viwanda, kuongeza uzalishaji wa umeme na kuunda ajir...
1 week ago
No comments:
Post a Comment