Baadhi ya wahadhiri na wanafunzi wa Dublin Institute of Technology-Ireland, wakiongea na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda, tarehe 27/02/2009, alipokuwa kwenye ziara yake nchini Ireland.
Mimi kama mwenyekiti msimamizi wa Jumuiya ya Watanzania waliopo Ireland, napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha wewe mtanzania uliyopo kokote duniani kutoa mchango wako katika kuendeleza taifa letu. Lengo na madhumuni ya blog hii ni kuwakutanisha na kuimarisha umoja wa watanzania waliopo Ireland and duniani kote.
Ahsanteni na karibuni sana.
TUIMARISHE USHIRIKIANO KATIKA KUZUIA UHALIFU.
-
*Wananchi wa Kijiji cha Utende, Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, wametakiwa
kuimarisha ushirikiano na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu kwa
wak...
No comments:
Post a Comment