Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea zawadi ya maua kutoka kwa Katibu wa Umoja wa Watanzania waishio, Ireland, Bwana Makunja Jogoo wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipozungumza na watanzania hao jijini Dublin akiwa katika ziara ya kikazi nchini Ireland, Februari 27, 2008.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
DKT. TULIA: WANAWAKE WASHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA MAAMUZI
-
*Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson,
akizungumza na wabunge wanawake katika Jukwaa la Wanawake wa Umoja wa
Mabunge Duniani (IP...
18 hours ago
No comments:
Post a Comment