Wazalendo!
Kwa yeyote anayejua kampuni zinazosafirisha mizigo kwenda TZ tokea hapa Ireland, tunaomba maelezo. Kuna watu wengi wanahitaji kusafirisha mizigo kwenda TZ (kwa unafuu) lakini hawajui jinsi gani. Tasaidiane!
RC SENYAMULE AKAGUA MIRADI KONDOA, ATATUA KERO ZA WANANCHI NA KUTOA WITO WA
MAANDALIZI DHIDI YA MVUA KUBWA
-
*Dodoma*
*Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amefanya ziara ya kikazi
katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Halmashauri ya Mji wa Kondo...
16 hours ago
No comments:
Post a Comment