Sisi YOPET (Youth Organization for Poverty Reduction - Tanzania), tumesaka kwa Muda mrefu ushirikiano wa watanzania wenzetu waishio Ireland na viunga vyake. sisi sio Njo, ni kikundi chenye watu takriban 420 members sasa. Makao yetu makuu ni hapa hapa Kunduch-Dar es Salaam, Tanzania. tumejifunga kutafuta mpenyo wa kuondokana na Umaskini iwapo tutawezeshwa. tuna malengo yetu na mikakati. iwapo tutapata mawasiliano yenu mazuri, na moyo wenu wa uzalendo tutashirikiana kujikwamua.
Pastor Bihagaze
Mwenyekiti
JESHI LA POLISI MKOA MBEYA LAREJESHA TABASAMU KWA JAMII
-
*Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
(SACP) Benjamin Kuzaga amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo
mbalimb...
19 hours ago
No comments:
Post a Comment