Yah. Wenye maombi ya wenye kuhitaji pass za kitanzania. Tarehe maalumu ya kuonana na afisa uhamiaji hapa Dublin ni 26.02.09 na 27.02.09. Muda kamili haujatolewa.
WAZIRI KAPINGA AZINDUA KIKOSI KAZI CHA AMCHAM KUIMARISHA VIWANDA NA MAUZO
YA NJE
-
*Dar es Salaam, *
*Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Salvio Kapinga, leo amezindua
Kikosi Kazi cha Uzalishaji (Manufacturing Working Group) chin...
11 hours ago