Mimi kama mwenyekiti msimamizi wa Jumuiya ya Watanzania waliopo Ireland, napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha wewe mtanzania uliyopo kokote duniani kutoa mchango wako katika kuendeleza taifa letu. Lengo na madhumuni ya blog hii ni kuwakutanisha na kuimarisha umoja wa watanzania waliopo Ireland and duniani kote.
Ahsanteni na karibuni sana.
No comments:
Post a Comment