Thursday, February 19, 2009

Invitation by Department of Foreign Affairs.

Dear Tanzanians

The Department of Foreign Affairs would like to extend invitations to members of the Tanzanian community in Ireland to a reception in Iveagh House (Department of Foreign Affairs, 80 Stephen's Green Dublin 2) on Wed. 25th Feb.09 at 18:00PM.

Tunachukua Nafasi hii kuwafikishieni ujumbe wa mwaliko toka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ireland, DFA. DFA inawakaribisheni nyote, wenye majina hayo hapo chini, kwenye party ndogo itakayofanyika Iveagh House (Department of Foreign Affairs, 80 Stephen's Green Dublin 2) Jumatano. 25th Feb.09.

Nyote mnaombwa kuhudhuria kwani mwaliko huu ni moja wapo ya shughuli za mapokezi ya waziri mkuu (Mizengo Pinda) hapo tarehe 26/02/09. Mwaliko huu ni tofauti na ule unaoandaliwa na ubalozi.

  1. Davina Mhando
  2. Fred Mtenzi
  3. David Nyauke
  4. Nam Kibacha
  5. Maria Mnzava
  6. Bebi Licky
  7. Maura Kachirode
  8. Zanifa Omary
  9. Dennis Lupiana
  10. James kasper
  11. Rukia Senga
  12. Rose Tinabo
  13. Msury Mahunnah
  14. Renatus Mushi
  15. Salehe Mwachaka
  16. Theresia Buluda
  17. Dickson Pinswande
  18. Alfred Mulla
  19. Zawadi Karashani
  20. Bw. Msafiri
  21. Bibi Msafiri
  22. Fredrik AJ Mashingia
  23. Luka Mkonongwa
  24. Frank Steven
  25. Eudoxia
  26. Amina Kavira
  27. Caroline Lamba
  28. Isabella Noone
  29. Thomas Kitambi
  30. Nakundwa Seushi
  31. Rukia
  32. Valentine Tungura
  33. Eudoxia Vitalis
  34. Bossi Masamilla
  35. Zubeir
  36. Marietha Mrema
  37. Nyamwenda Massamba
  38. Cecillia Massawe
  39. Salehe Mwachaka
  40. Jafari saidi
  41. Mwajuma Magwiza
  42. Baltazari Sungi

Shukrani
Wawakilishi: Tanzania Ireland

1 comment:

  1. Ndugu Mwenyekiti, naombaunisaidie kama utakuwa na kadi ya ziada kwenye mnuso wa leo tar 25 february kwani nimesahau kadi yangu nyumbani na nimbali kidogo,nimeshindwa kuirudia kwani nitakuwa darasani mpaka saa 11 jioni, Ila nilisha waandikia email hao DFA ya kuconfirm kwamba nitahuzuria leo kama ulivyoelekeza awali.
    Dickson Pius Wande

    ReplyDelete