Ndugu wadau
Tunapenda kukusanya mchango wa mawazo ili tuweze kuishawishi team ya mpira wa miguu ya Ireland kuweka kambi yao Tanzania kwa maandalizi ya kombe la dunia 2010; iwapo ita-qualify!
Kwa kushirikiana na ubalozi, sisi tutaandaa propasal yetu, kisha tutaituma kwa FAI (Football Association of Ireland). Tuma maoni yako kwa swahili@live.ie
DKT. TULIA: WANAWAKE WASHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA MAAMUZI
-
*Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson,
akizungumza na wabunge wanawake katika Jukwaa la Wanawake wa Umoja wa
Mabunge Duniani (IP...
19 hours ago
that will be great! lakini watakao andaa world cup si ndiyo watakaoandaa timu zote au?
ReplyDelete