Thursday, June 11, 2009

IRISH FOOTBALL TEAM: WORLD CUP 2010

Ndugu wadau
Tunapenda kukusanya mchango wa mawazo ili tuweze kuishawishi team ya mpira wa miguu ya Ireland kuweka kambi yao Tanzania kwa maandalizi ya kombe la dunia 2010; iwapo ita-qualify!
Kwa kushirikiana na ubalozi, sisi tutaandaa propasal yetu, kisha tutaituma kwa FAI (Football Association of Ireland). Tuma maoni yako kwa swahili@live.ie

1 comment:

  1. that will be great! lakini watakao andaa world cup si ndiyo watakaoandaa timu zote au?

    ReplyDelete