Tuesday, June 30, 2009

FINGERS CROSSED

Ndugu wanaumoja wa TanzaniaIreland (TAI)
Kufuatia jitihada za kuendeleza umoja, tunaendelea na shughuli za usajiri wa umoja. Tumekwisha jaza form na kuzituma kwenye Offisi ya mapato ili tuweze kupata namba ya usajiri ambayo pia itatuwezesha kupata exemption. FINGERS CROSSED, tukisha pata namba hiyo basi tutaendelea na ufunguaji wa akounti ya umoja/chama. Kama kuna maulizo/swali kuhusu habari hii tafadhari tumeni maulizo hayo;swahili@live.ie
Wenu ktk huduma.
Mtumishi wa umoja

No comments:

Post a Comment