Tuesday, June 23, 2009

SHUKRANI

Shukrani kubwa ziwafikieni nyote mlioweza kuhudhuria kijisherehe kidogo cha kumuaga Maria Mnzava. Tunaweka uthibitisho hapo chini wakati tunajiandaa kuyarudi-tunapokea somo toka kwa Mdau Guy.

No comments:

Post a Comment