Friday, December 18, 2009

HERI YA KRIMASI

TAI YAWATAKIA WATANZANIA KILA LA HERI KTK KRISMASI NA MWAKA MPAY 2010

1 comment:

  1. Habari yako Dada Nam Kibacha,
    Mimi ni Mtanzania nipo hapa National University of Ireland, Maynooth tangu mwezi Septemba 2009, nachukua M.A. Economics (1yr Full Time). NAimefurahi kusikia kumbe kuna Umoja wa Watanzania Waishio Ireland baada ya kuangalia Website ya Michuzi na kuona Umoja wa wenzetu wa Uingereza, then nikafanya browsing kama kuna Umoja kama huo hapa Ireland, ndipo nikapata hii Link. Sijui utaratibu upoje, natamani nami kuwa mwanachama na pia kukutana na Watanzania wenzako waliopo hapa Ireland. Tangu nimekuja nimekutana na Wanafunzi wenzangu Watanzania wawili tu hapa Chuoni. Asante.
    Contacts zangu: CHARLES LAWRENCE MSIKE, MOBILE: 0876152662; RESIDENCE ADDRESS: 3B MOY, RIVER APARTMENTS, NATIONAL UNIVERSITY OF IRELAND, MAYNOOTH, CO. KILDARE.

    ReplyDelete