Thursday, August 27, 2009

MWENYEKITI MPYA ATOA SHUKRANI

Nashukuru sana kwa salamu zenu, na nachukua nafasi hii,kupokea uteuzi huu,wa Acting Chairwoman (caretaker) nitauendeleza kwa kutegemea msaada na mawazo yenu pia kwa pamoja.

ASANTENI,NA KIDUMU CHAMA.